Website Builder
Describe your website — AI will build it
Describe your website — AI will build it
Bunsell Website Builder inatumia akili bandia kuunda website kamili ya kitaalamu kwa dakika chache. Hauhitaji ujuzi wa coding — eleza tu biashara yako.
Andika jina la biashara, unachofanya, aina ya website, na chagua rangi ya brand yako. Kisha bonyeza Build My Website.
Utaona code ikiandikwa mbele yako kwenye terminal — HTML, CSS na JavaScript. Website inajengwa kwa sekunde chache.
Ikimaliza, website yako inawekwa live kwenye bunsell.com na unapewa link ya kudumu unayoweza kushare na mtu yeyote.
Andika unachotaka kubadilisha kwenye chat — mfano "ongeza sehemu ya bei" au "badilisha rangi kuwa bluu". AI itasasisha website na link yako haitabadilika.
Bonyeza icon ya folda juu kulia kuona websites zote ulizounda. Kila moja ina mazungumzo yake na kumbukumbu zake — unaweza kurudi kuiendeleza wakati wowote.